"Inauma"
— poje Aslay
"Inauma" je pesem, izvedena na tanzanijski, izdana dne 28 januarja 2023 na uradnem kanalu založbe - "Aslay". Odkrijte ekskluzivne informacije o "Inauma". Poiščite besedilo pesmi Inauma, prevode in dejstva o pesmi. Zaslužek in neto vrednost se zbirajo s sponzorstvi in drugimi viri v skladu z informacijami, ki jih najdete na internetu. Kolikokrat se je pesem »Inauma« pojavila na sestavljenih glasbenih lestvicah? "Inauma" je dobro znan glasbeni video, ki se je uvrstil na priljubljene top lestvice, kot so Top 100 Tanzanija pesmi, Top 40 tanzanijski pesmi in drugo.
|
Download New Songs
Listen & stream |
|

"Inauma" Dejstva
»Inauma« je dosegel 503.5K skupno število ogledov in 14K všečkov na YouTubu.
Pesem je bila poslana na 28/01/2023 in je bila 5 tedna na lestvicah.
Prvotno ime glasbenega videa je "ASLAY - INAUMA (OFFICIAL LYRICS VIDEO)".
»Inauma« je bil objavljen na Youtubu pri 27/01/2023 20:54:48.
"Inauma" Besedilo, skladatelji, založba
#aslay #bongoflava #sonymusicafrica #miminibongoflava
Aslay - Inauma Official Lyric Video
Inauma ni wimbo wa mapenzi lakini wenye kusikitisha na kuumiza moyo, wimbo huu una mahadhi ya mpangilio wa ara za muziki wa zamani wa
;
Aslay amezungumzia wivu, kushindwa kuvumilia pale unapoachwa na Yule umpendaye
Upangiliaji wa maneno na uandishi wa Aslay unaongeza utofauti kwenye wimbo huu kwani ucheshi uliotumika unafanya wimbo kuwa wakipekee vinginevyo ungekuwa wimbo wa mapenzi wa kusikitisha,lakini ucheshi umenogesha na kuufanya wimbo wa kufurahisha na kuumiza katika mapenzi.
Follow Aslay at:
Bookings:
Yeeeh lele
Loooh
Leeeh lelele
Oooh lolololoh
Lolo
Tuna siku tatu toka tumeachana
Yaani juzi kuamkia jana
Yaani hata week haijaisha
kinachonisikitisha tayari ameshapata bwana
Halafu hawazi
Haonyeshi dalili ya machozi
Yaani bonge la surprise amenifanyia
Mwili wote umeingiwa ganzi
Ina maana alikuwa ananisaliti
Ndiyo maana haikupita hata week
Inauma maumivu hayasimuliki
kuona wakipeti peti hadharani
wanajua kunirusha roho
wakiniona ndiyo wanashikana
malovebite kwenye shingo
kwa mdomo ndiyo wanalishana
Yala weeh yala weeh inauma
Yala weeh yala weeh inauma
Najikaza kisabuni lakini roho inauma
yala weeh yala weeh inauma
Yala weeh yala weeh inauma
Yala weeh Yala weeh inauma
Najikaza najikaza lakini ukweli inauma
Yala weeh yala weeh inauma
Aiyooooooo
lile lile
Aaaah lilele eeh
Jamani mi ndugu yenu ninateseka
Nitahama nivikimbie hivi vibweka
Majirani nao washaanza kunicheka
Nyimbo za mafumbo ameachwa ameachwa
Akili inanituma nikapigane
Ila mwana mbavu kajazia simuwezi
Natamani nimtukane
Ila nikimuona nabaki kigugumizi
Naomba wafe baharini waliwe na papa
Halafu yule papa avuliwe aletwe hapa
Nimle nishibe na miba niwape paka
Wivu umenishika nimechoka nimechoka
Wanajua kunirusha roho
Wakiniona ndiyo wanashikana
malovebite kwenye shingo
Kwa mdomo ndiyo wanalishana
Yala weeh yala weeh inauma
Yala weeh yala weeh inauma
Najikaza kisabuni lakini roho inauma
Yala weeh yala weeh inauma
Yala weeh yala weeh inauma
Yala weeh yala weeh inauma
Najikaza najikaza lakini ukweli inauma
Yala weeh yala weeh inauma
Nasikia wivu
Inamaana magetoni ndiyo haji tena
Mwenzenu Nasikia wivu
Alivyonipa mimi anampa yule bwana
Nasikia wivu
Ooh inauma
Mwenzenu nasikia wivu
Jamani eeh inauma
Nasikia wivu
Inauma
Mwenzenu nasikia wivu
Nasikia nasikia
Nasikia wivu
Eeeh lele
Mwenzenu Nasikia wivu
Unaniumiza wivu